Tupo katika dunia ambayo imejaa mihangaiko kila kukicha hivyo imetufanya watu wengi kuwa mbali na nyumbani kwetu lakina daima KYELA ITABAKI KUWA NYUMBANI KWETU
Tuesday, February 8, 2011
KWANINI TUSHINDWE?
Naamini kua sisi kama binadamu tumezaliwa na vipaji na uwezo wetu wa asilia achilia mbali ule tulio upata mashuleni, ambao unatutenga na jamii yetu. Kwa kua kila mtu anacho kitu alichopewa toka kwa mwenyezi naamini kua kama tutajumuuisha kwa pamoja nguvu zetu,vipaji na vipawa vyetu tunaweza fanya kyela yetu ikawa bora katika kila nyanja za kimaisha,lakini kama tutaendelea kuishi kama kuku waliotenganishwa na mwewe kwa kukumbatia mila zinazokandamiza maendeleo hakika hatutofika popote.TUJIULIZE TUNAFANYA NINI NA TUMEFANYA NINI MPAKA TUSEME HATUWEZI?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
mbona kimya ndugu zangu, maoni yenu ni ya msingi sana
ReplyDelete